Daily Archives: January 8, 2015

RAIS DKT.JAKAYA MRISHO KIKWETE LEO AMEWAAPISHA WAJUMBE SITA WA TUME YA HAKI ZA BINADAMU NA UTAWALA BORA KATIKA HAFLA ILIYOFANYIKA IKULU JIJINI DAR ES SALAAM JANUARY 8, 2015

wwwwwww

Pichani Rais Kikwete akiwa pamoja na wajumbe wa Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora aliowaapisha leo Watatu Kutoka kushoto ni Mwenyekiti wa Tume hiyo Bwana Bahame Tom Mukiria Nyanduga, Watano Kushoto ni Makamu Mwenyekiti wa Tume hiyo Bwana Iddi Ramadhani Mapuri, na makamishna wa tume hiyo wakwanza kushoto ni Bibi Salma Ali Hassan, Wapili kushoto ni Bwana Mohamed Khamis Hamad, Wasita kushoto ni Dkt.Kevin Mandopi, na kulia ni Bibi Rehema Msabila Ntimizi

1

Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete  akimwaapisha mwenyekiti wa Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora  Bwana Bahame Tom Mukiria Nyanduga, katika hafla iliyofanyika Ikulu jijini Dar es Salaam January 8, 2015

2

Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete  akimwaapisha  makamu  mwenyekiti wa Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora  Bwana Iddi Ramadhani Mapuri,  katika hafla iliyofanyika Ikulu jijini Dar es Salaam January 8, 2015

3

Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete  akimwaapisha  kamishna wa Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora  Bwana Mohamed Khamis Hamad,  katika hafla iliyofanyika Ikulu jijini Dar es Salaam January 8, 2015

4

Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete  akimwaapisha  kamishna wa Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora  , Dkt. Kevin Mandopi,  katika hafla iliyofanyika Ikulu jijini Dar es Salaam January 8, 2015

5

Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete  akimwaapisha  kamishna wa Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora Bibi Rehema Msabila Ntimizi  katika hafla iliyofanyika Ikulu jijini Dar es Salaam January 8, 2015

6

Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete  akimwaapisha  kamishna wa Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora bibi Salma Ali Hassankatika hafla iliyofanyika Ikulu jijini Dar es Salaam January 8, 2015

TAZAMA VIDEO

RAIS KIKWETE AMWAPISHA MSAJILI WA MAHAKAMA YA RUFAA IKULU JIJINI DAR ES SALAMA JANUARY 8, 2015

unnamed

Msajili wa Mahakama ya Rufaa Bibi Katarina Tengia Revocati akila kiapo mbele ya Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete Ikulu jijini Dar es Salaam January 8, 2015

jcvfvfcvcfvcvpg

Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akimkabidhi vifaa vya kazi muda mfupi baada ya kumuapisha Msajili wa Mahakama ya Rufaa Bibi Katarina Tengia Revocati Ikulu jijini Dar es Salaam January 8, 2015