Daily Archives: December 25, 2015

RAIS DKT. JOHN POMBE MAGUFULI ASHIRIKI MISA YA KRISMASI KATIKA KANISA LA MTAKATIFU PETER JIJINI DAR ES SALAAM DESEMBA 25,2015

4953dca7-2e43-484c-8bc4-93e3d07014b6Rais Dkt John Pombe Joseph Magufuli akiwasili kushiriki Ibada ya Krismas misa ya kwanza katika Kanisa la Mtakatifu Peter jijini Dar es salaam Desemba 25, 2015

6bf6f663-e903-456b-b765-4ae97dd79ef7

Muadhama Askofu Mkuu Polycarp Kardinali Pengo wa Jimbo Kuu la Dar es Salaam akisalisha Ibada ya Misa ya Krismas katika Kanisa la Mtakatifu Peter jijini Dar es salaam Desemba 25, 2015

f1d941d5-11db-4a32-b5f2-b7d066d77731

 

d2cdbd84-44c0-45ef-846a-ab68a9eca05a

 

1wwvghqnbRais Dkt John Pombe Joseph Magufuli, Mkewe Mama Janeth Magufuli na Mke wa Waziri Mkuu Mama Mary Majaliwa wakishiriki Ibada ya Krismas katika Kanisa la Mtakatifu Peter jijini Dar es salaam  Desemba 25, 2015 

9aa81b8a-7fdb-45ee-87ea-7e37a23848ffSehemu ya waumini katika Ibada ya Krismas misa ya kwanza  katika Kanisa la Mtakatifu Peter jijini Dar es salaam leo Desemba 25, 2015

fc2c89a7-62c3-42fd-8904-79e991f0c3a6

Rais Dkt John Pombe Joseph Magufuli akisalimiana na Muadhama Askofu Mkuu Polycarp Kardinali Pengo wa Jimbo Kuu la Dar es Salaam kasha akamkaribisha kusalimia wananchi baada ya kumalizika kwa Ibada ya Krismas misa ya kwanza katika Kanisa la Mtakatifu Peter jijini Dar es salaam  Desemba 25, 2015

fb6d54d1-6efd-4089-b5e3-432d38b9303d

 

e163be21-50e2-4178-a6e7-366911e4b3cc

 

e042b0ae-05f8-4a95-90e0-22b89f75990fRais Dkt John Pombe Joseph Magufuli akitoa salamu zake za heri ya Krismasi mara baada ya kumalizika Ibada ya Krismas misa ya kwanza katika Kanisa la Mtakatifu Peter jijini Dar es salaam  Desemba 25, 2015

beba6cf2-b87c-470c-8060-963a0733022e

 

 

9ef08579-7717-48fd-9cec-821f962c6c17

 

6dcae765-8ff8-4f1e-94c7-b759c8160408Rais Dkt John Pombe Joseph Magufuli akiwatakia salama za heri ya Krismasi baadhi ya waumini mara baada ya kumalizika Ibada ya Krismas misa ya kwanza katika Kanisa la Mtakatifu Peter jijini Dar es salaam Desemba 25, 2015

cdba7d94-82f0-4eb3-8151-55e098b989e1

Rais Dkt John Pombe Joseph Magufuli na Mkewe Mama Janeth Magufuli wakiongea na Muadhama Askofu Mkuu Polycarp Kardinali Pengo wa Jimbo Kuu la Dar es Salaam walipofika katika kanisa la Mtakatifu Peter kushiriki Ibada ya Krismas Desemba 25,2015