Daily Archives: March 11, 2017

MWENYEKITI WA CHAMA CHA MAPINDUZI (CCM) RAIS MHE. DKT.JOHN POMBE MAGUFULI AONGOZA KIKAO CHA KAMATI KUU YA (CCM) KATIKA OFISI ZA MAKAO MAKUU YA CHAMA MJINI DODOMA MARCH 11,2017

Mwenyekiti wa CCM, Rais DKT. John Pombe Magufuli akipokelewa na Katibu Mkuu wa CCM,Abdulrahman Kinana alipowasili Makao Makuu ya CCM, mjini Dodoma  kuendesha kikao cha Kamati Kuu ya CCM.

 

Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli akiendesha Kikao cha Kamati Kuu ya Chama cha Mapinduzi CCM katika makao makuu ya Chama hicho mkoani Dodoma. Wengine katika picha ni Rais wa Zanzibar ambaye pia ni Makamu Mwenyekiti CCM Zanzibar Dkt. Ali Mohamed Shein, Katibu Mkuu wa CCM taifa Abdulrahman Kinana pamoja na Makamu mwenyekiti wa CCM bara Philip Mangula.

Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli akiendesha Kikao cha Kamati Kuu ya Chama cha Mapinduzi CCM makao makuu ya Chama hicho mkoani Dodoma March 11, 2017.

 Mwenyekiti wa CCM Rais DkT. John Pombe Magufuli akiwasili ukumbini kuendesha kikao cha Kamati Kuu ya CCM mjini Dodoma  Kushoto ni Makamu Mwenyekiti wa CCM-Rais wa Zanzibar Dk. Ali Mohammed Shein na kulia ni Makamu Mwenyekiti wa CCM Bara PhilipMangula na Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana

 Mwenyekiti wa CCM, Rais Dkt. John Pombe Maguguli akiwa na Makamu Mwenyekiti wa CCM-Bara Philip Mangula (kushoto) kwenye chumba cha mapumziko kabla ya kuanza kikaocha Kamati Kuu ya CCM mjini Dodoma . Kulia ni Naibu Katibu Mkuu wa CCM-Zanzibar Vuai Ali Vuai na Makamu Mwenyekiti wa CCM, Rais wa Zanzibar Dk. Ali Mohamed Shein 

Mwenyekiti wa CCM, Rais DKT. John Pombe Magufuli akiwa na viongozi wengine wa Chama wakati wakisubiri kuingia ukumbini kwenye kikao cha Kamati Kuu ya CCM, mjini Dodoma

Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akitoa utangulizi kumpa nafasi Mwenyekiti wa CCM, Rais Dkt. John Pombe Magufuli kufungua na kuongoza kikao cha Kamati Kuu ya CCM mjini Dodoma. Kushoto ni Dk. Shein na Kulia ni Mangula