Daily Archives: June 20, 2017

RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA MHE. DKT. JOHN POMBE MAGUFULI AANZA ZIARA YA SIKU TATU MKOA WA PWANI NA AHUTUBIA WANANCHI WA MJI WA KIBAHA JUNE 20,2019

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli akisaini vitabu vya wageni mara baada ya kuwasili katika uwanja wa Bondeni Mjini Kibaha kwa ajili ya kuaanza ziara ya kikazi Mkoani Pwani june 20,2017 kulia ni Mkuu wa Mkoa wa Pwani Mhandisi Evarist Ndikilo

Mkuu wa mkoa wa Pwani Mhandisi Evarist Ndikilo akimkaribisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli kwa ajili ya kuhutubia wananchi wa mji wa Kibaha Mkoani Pwani june 20,2017

 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli akiwahutubia mamia ya wananchi wa Mji wa Kibaha Mkoani Pwani June 20,2017. Rais Magufuli yupo Mkoani Pwani kwa Ziara ya siku tatu

 

 

 

 

 

Wananchi wakifuatilia Hotuba ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli wakati akiwahutubia mamia ya wananchi wa Mji wa Kibaha Mkoani Pwani June 20,2017. Rais Magufuli yupo Mkoani Pwani kwa Ziara ya siku tatu

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimsikiliza mwananchi Azilongwa Buhali alipokuwa akimuelezea shida yake mara baada ya kuhutubia wananchi wa Kibaha Mkoani Pwani.

 

kikundi cha ngoma kutoka JKT kikitumbuiza kwenye Mkutano huo

 

RAIS DKT. JOHN POMBE MAGUFULI AKUTANA NA RAIS MSTAAFU WA NIGERIA MHE. OLUSEGUN OBASANJO IKULU DAR ES SALAAM JUNE 20,2017

 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akimlaki Rais Mstaafu wa Nigeria Mhe. Olusegun Obasanjo aliyemtembelea Ikulu jijini Dar es salaam Juni 20, 2017

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akiwa katika mazungumzo na  Rais Mstaafu wa Nigeria Mhe. Olusegun Obasanjo aliyemtembelea Ikulu jijini Dar es salaam Juni 20, 201