Monthly Archives: December 2017

RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA MHE.DKT.JOHN POMBE MAGUFULI AWASILISHA FOMU ZAKE ZA TAMKO LA RASILIMALI NA MADENI KWA VIONGOZI WA UMMA KATIKA OFISI ZA SEKRETARIETI YA MAADILI YA VIONGOZI WA UMMA JIJINI DAR ES SALAAM DISEMBA 28,2017.

 

Rais Wa Jamhuri Ya Muungano Wa Tanzania Mhe.Dkt.John Pombe Magufuli akiwasili Katika Ofisi Za Sekretarieti Ya Maadili Ya Viongozi Wa Umma Jijini Dar Es Salaam kuwasilisha fomu zake za tamko la Rasilimali na madeni kwa Viongozi wa Umma Disemba 28,2017.

Rais Wa Jamhuri Ya Muungano Wa Tanzania Mhe.Dkt.John Pombe Magufuli akisalimiana na Kamishina wa Maadili Jaji Mstaafu Haroild Nsekela alipowasili Katika Ofisi Za Sekretarieti Ya Maadili Ya Viongozi Wa Umma Jijini Dar Es Salaam kuwasilisha fomu zake za tamko la Rasilimali na madeni kwa Viongozi wa Umma Disemba 28,2017.

Rais Wa Jamhuri Ya Muungano Wa Tanzania Mhe.Dkt.John Pombe Magufuli akisaini kitabu cha wagenin mara baada ya kuwasili Katika Ofisi Za Sekretarieti Ya Maadili Ya Viongozi Wa Umma Jijini Dar Es Salaam kuwasilisha fomu zake za tamko la Rasilimali na madeni kwa Viongozi wa Umma Disemba 28,2017.

 

Rais Wa Jamhuri Ya Muungano Wa Tanzania Mhe.Dkt.John Pombe Magufuli akihakiki fomu zake kabla ya kuziwasilisha kwa Kamishina wa Maadili Jaji Mstaafu Haroild Nsekela Katika Ofisi Za Sekretarieti Ya Maadili Ya Viongozi Wa Umma Jijini Dar Es Salaam Disemba 28,2017.

Rais Wa Jamhuri Ya Muungano Wa Tanzania Mhe.Dkt.John Pombe Magufuli  akimsikiliza Kamishina wa Maadili Jaji Mstaafu Haroild Nsekela mara baada ya kuwasilisha fomu zake za tamko la Rasilimali na madeni kwa Viongozi wa Umma Katika Ofisi Za Sekretarieti Ya Maadili Ya Viongozi Wa Umma Jijini Dar Es Salaam Disemba 28,2017.

Rais Wa Jamhuri Ya Muungano Wa Tanzania Mhe.Dkt.John Pombe Magufuli akimshukuru Kamishina wa Maadili Jaji Mstaafu Haroild Nsekela mara baada ya kuwasilisha fomu zake za tamko la Rasilimali na madeni kwa Viongozi wa Umma katika Ofisi Za Sekretarieti Ya Maadili Ya Viongozi Wa Umma Jijini Dar Es Salaam Disemba 28,2017.

 

Rais Wa Jamhuri Ya Muungano Wa Tanzania Mhe.Dkt.John Pombe Magufuli akiwa pamoja na Kamishina wa Maadili Jaji Mstaafu Haroild Nsekela wakiangalia moja ya ofisi  za Serikali zilizopo katika jengo la Sukari House mara baada ya kuwasilisha fomu zake za tamko la Rasilimali na madeni kwa Viongozi wa Umma katika Ofisi Za Sekretarieti Ya Maadili Ya Viongozi Wa Umma Jijini Dar Es Salaam Disemba 28,2017.

Rais Wa Jamhuri Ya Muungano Wa Tanzania Mhe.Dkt.John Pombe Magufuli akisindikizwa na Kamishina wa Maadili Jaji Mstaafu Haroild Nsekela wakiangalia moja ya ofisi  za Serikali zilizopo katika jengo la Sukari House mara baada ya kuwasilisha fomu zake za tamko la Rasilimali na madeni kwa Viongozi wa Umma katika Ofisi Za Sekretarieti Ya Maadili Ya Viongozi Wa Umma Jijini Dar Es Salaam Disemba 28,2017.

Rais Wa Jamhuri Ya Muungano Wa Tanzania Mhe.Dkt.John Pombe Magufuli akiwapungia mkono Wananchi waliokuwepo nje ya jengo la Sukari House mara baada ya kuwasilisha fomu zake za tamko la Rasilimali na madeni kwa Viongozi wa Umma katika Ofisi Za Sekretarieti Ya Maadili Ya Viongozi Wa Umma Jijini Dar Es Salaam Disemba 28,2017.Disemba 28,2017.

MWENYEKITI WA CHAMA CHA MAPINDUZI (CCM) RAIS DKT.JOHN MAGUFULI AHUTUBIA MKUTANO MKUU WA TISA WA CCM KATIKA UKUMBI WA JAKAYA KIKWETE CONVETIONAL CENTRE MJINI DODOMA DISEMBA 18,2017.

Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Rais Dkt. John Pombe Magufuli akiwa ameambatana pamoja na Makamu Mwenyekiti wa CCM kwa upande wa Zanzibar, Rais wa Zanzibar Dkt. Ali Mohamed Shein  na Makamu mwenyekiti Bara ndugu Philip Mangula pamoja na katibu mkuu wa CCM komredi Abdurahmani Kinana wakiingia katika Mkutano Mkuu wa Tisa wa Chama cha Mapinduzi uliofanyika katika ukumbi wa Jakaya Kikwete Convetional Centre Mjini Dodoma.Disemba 18,2017.

 

Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Rais Dkt. John Pombe Magufuli akiwa amesimama pamoja na Makamu wa Rais Samia Suluhu Hassan wa tatu kutoka (kushoto), Makamu Mwenyekiti wa CCM kwa upande wa Zanzibar, Rais wa Zanzibar Dkt. Ali Mohamed Shein wa nne kutoka (kushoto), Rais Mstaafu wa awamu ya nne Jakaya Mrisho Kikwete wa kwanza (kushoto), Rais Mstaafu wa awamu ya pili Mzee Ali Hassan Mwinyi wa pili kutoka (kushoto), Rais Mstaafu wa awamu ya Tatu Benjamin Mkapa wa pili kutoka kulia wakiimba wimbo wa Taifa kabla ya kufungua mkutano wa Tisa wa Chama cha Mapinduzi CCM uliofanyika mjini Dodoma.Disemba 18,2017.

Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Rais Dkt. John Pombe Magufuli akiwahutubia wajumbe wa Mkutano Mkuu wa CCM pamoja na wageni mbalimbali katika Mkutano Mkuu wa Tisa wa Chama cha Mapinduzi uliofanyika katika ukumbi wa Jakaya Kikwete Convetional Centre Mjini Dodoma.Disemba 18,2017. Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Rais Dkt. John Pombe Magufuli akipongezwa na Rais Mstaafu wa awamu ya nne Jakaya Mrisho Kikwete mara baada ya kufungua mkutano wa Tisa wa CCM uliofanyika mjini Dodoma.

Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Rais Dkt. John Pombe Magufuli akipongezwa na Makamu Mwenyekiti wa CCM Bara Philip Mangula mara baada ya kufungua mkutano wa Tisa wa CCM uliofanyika mjini Dodoma.

Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Rais Dkt. John Pombe Magufuli akipongezwa na Rais mstaafu wa Awamu ya Tatu Benjamin Mkapa.

 

Katibu mkuu wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Komred Abdurhaman Kinana akiwahutubia wajumbe wa Mkutano Mkuu wa CCM pamoja na wageni mbalimbali katika Mkutano Mkuu wa Tisa wa Chama cha Mapinduzi uliofanyika katika ukumbi wa Jakaya Kikwete Convetional Centre Mjini Dodoma

 

Waziri mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Kassim Majaliwa akiwasilisha taarifa ya Serikali kwa kipindi cha miaka miwili kwa wajumbe wa Mkutano Mkuu wa CCM pamoja na wageni mbalimbali katika Mkutano Mkuu wa Tisa wa Chama cha Mapinduzi uliofanyika katika ukumbi wa Jakaya Kikwete Convetional Centre Mjini Dodoma.Disemba18,2017.

Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Rais Dkt. John Pombe Magufuli akifurahia jambo na Makamu Mwenyekiti wa CCM kwa upande wa Zanzibar, Rais wa Zanzibar Dkt. Ali Mohamed Shein kabla ya kupiga kura ya kumchagua Mwenyekiti wa CCM katika Mkutano Mkuu wa Tisa wa Chama cha Mapinduzi uliofanyika katika ukumbi wa Jakaya Kikwete Convetional Centre Mjini Dodoma

 

Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Rais Dkt. John Pombe Magufuli akifurahia jambo na Makamu Mwenyekiti wa CCM kwa upande wa Zanzibar, Rais wa Zanzibar Dkt. Ali Mohamed Shein wakati wakipiga kura ya kumchagua Mwenyekiti wa CCM katika Mkutano Mkuu wa Tisa wa Chama cha Mapinduzi uliofanyika katika ukumbi wa Jakaya Kikwete Convetional Centre Mjini Dodoma

Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Rais Dkt. John Pombe Magufuli akipiga kura ya kumchagua Mwenyekiti wa CCM katika Mkutano Mkuu wa Tisa wa Chama cha Mapinduzi uliofanyika katika ukumbi wa Jakaya Kikwete Convetional Centre Mjini Dodoma.Disemba18,2017.

Mke wa Rais wa Jamhuri ya Muungano Mhe.Mama Janet Magufuli akiwa na Mjane wa Hayati Baba wa Taifa Mama Maria Nyerere  katika Mkutano Mkuu wa Tisa wa Chama cha Mapinduzi uliofanyika katika ukumbi wa Jakaya Kikwete Convetional Centre Mjini Dodoma.Disemba18,2017.

Wajumbe wa Mikoa mbalimbali wakifurahia kwa kunyoosha mabango ya mikoa yao juu baada ya kupiga kura ya kumchagua Mwenyekiti wa CCM katika Mkutano Mkuu wa Tisa wa Chama cha Mapinduzi uliofanyika katika ukumbi wa Jakaya Kikwete Convetional Centre Mjini Dodoma.Disemba18,2017.

Wanachama wa CCM wakiburidika kwa kucheza nyimbo mbalimbali katika mkutano huo wa tisa

 

Mwenyekiti Mstaafu wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Rais mstaafu wa awamu ya nne Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiwahutubia wajumbe wa Mkutano Mkuu wa CCM pamoja na wageni mbalimbali katika Mkutano Mkuu wa Tisa wa Chama cha Mapinduzi uliofanyika katika ukumbi wa Jakaya Kikwete Convetional Centre Mjini Dodoma.Disemba18,2017.

 

Mwenyekiti wa kamati ya uchaguzi wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Job Ndugai akitangaza matokeo ya uchaguzi kwa wajumbe wa Mkutano Mkuu wa CCM pamoja na wageni mbalimbali katika Mkutano Mkuu wa Tisa wa Chama cha Mapinduzi uliofanyika katika ukumbi wa Jakaya Kikwete Convetional Centre Mjini Dodoma.Disemba18,2017.

Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Rais Dkt. John Pombe Magufuli akipokea nyundo ya Uenyekiti kutoka kwa mwenyekiti wa muda ambaye pia ni Rais mstaafu wa awamu ya tatu Mhe.Benjamin Mkapa mara baada ya kutangazwa rasmi kuwa mwenyekiti katika Mkutano Mkuu wa Tisa wa Chama cha Mapinduzi uliofanyika katika ukumbi wa Jakaya Kikwete Convetional Centre Mjini Dodoma.Disemba18,2017.

Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Rais Dkt. John Pombe Magufuli akiwa ameshika nyundo ya Uenyekiti baada ya kukabidhiwa na mwenyekiti wa muda ambaye pia ni Rais mstaafu wa awamu ya tatu Mhe.Benjamin Mkapa mara baada ya kutangazwa rasmi kuwa mwenyekiti katika Mkutano Mkuu wa Tisa wa Chama cha Mapinduzi uliofanyika katika ukumbi wa Jakaya Kikwete Convetional Centre Mjini Dodoma.Disemba18,2017.

Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Rais Dkt. John Pombe Magufuli akipongezwa na Rais Mstaafu wa awamu ya nne Jakaya Mrisho Kikwete mara baada ya kuchaguliwa kuwa mwenyekiti mpya wa CCM kwa miaka mitano katika  mkutano wa Tisa wa CCM uliofanyika mjini Dodoma.Disemba 18,2017.

Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Rais Dkt. John Pombe Magufuli akihutubia mara baada ya kuchaguliwa kuwa mwenyekiti mpya wa CCM kwa miaka mitano katika  mkutano wa Tisa wa CCM uliofanyika mjini Dodoma.Disemba 18,2017.

Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Rais Dkt. John Pombe Magufuli akipewa pongezi na Mke wa Hayati Baba wa taifa, Mama Maria Nyerere mara baada ya kuchaguliwa kuwa mwenyekiti mpya wa CCM kwa miaka mitano katika mkutano huo wa Tisa wa CCM uliofanyika mjini Dodoma.Disemba18,2017

Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Rais Dkt. John Pombe Magufuli akipongezwa na Balozi wa China nchini Balozi Wang Ke mara baada ya kuchaguliwa kuwa mwenyekiti mpya wa CCM katika mkutano wa Tisa wa CCM uliofanyika mjini Dodoma.Disemba18,2017.

Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Rais Dkt. John Pombe Magufuli akipewa pongezi kutoka kwa mwenyekiti wa chama cha kikomunisti cha China zilizowasilishwa na Balozi wa China nchini Balozi Wang Ke mara baada ya kuchaguliwa kuwa mwenyekiti mpya wa CCM katika mkutano wa Tisa wa CCM uliofanyika mjini Dodoma.Disemba18,2017.

Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Rais Dkt. John Pombe Magufuli akiagana na Rais Mstaafu wa awamu ya pili Mzee Ally Hassan Mwinyi mara baada ya kufunga mkutano wa Tisa wa CCM uliofanyika mjini Dodoma.Disemba 18,2017.

Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Rais Dkt. John Pombe Magufuli akiwa ameambatana pamoja na Makamu Mwenyekiti wa CCM kwa upande wa Zanzibar, Rais wa Zanzibar Dkt. Ali Mohamed Shein na katibu mkuu wa CCM komredi Abdurahmani Kinana mara baada ya kufunga Mkutano Mkuu wa Tisa wa Chama cha Mapinduzi uliofanyika katika ukumbi wa Jakaya Kikwete Convetional Centre Mjini Dodoma.Disemba 18,2017.