Monthly Archives: January 2018

RAIS DKT.JOHN POMBE MAGUFULI AZINDUA PASIPOTI MPYA YA TANZANIA YA KIELEKTRONIKIA NA KUMJULIA HALI MSANII KING MAJUTO JIJINI DAR ES SALAAM JANUARI31,2018.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akionesha kwa furaha passipoti yake mpya  ya kielektronikia baada ya kuipokea kutoka kwa Waziri wa mambo ya Ndani Dkt. Mwigulu Nchemba makao makuu ya Idara ya Uhamiaji Kurasini jijini Dar es salaam,Kushoto ni Rais wa Zanzibar Dkt. Ali Mohamed Shein na kushoto kwa Waziri ni Kamishna Mkuu wa Uhamiaji Dkt. Peter Makakala.Januari 31, 2018.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt  John Pombe Magufuli   akionesha kwa furaha passipoti yake mpya  ya kielektronikia baada ya kuipokea kutoka kwa Waziri wa mambo ya Ndani Dkt. Mwigulu Nchemba makao makuu ya Idara ya Uhamiaji Kurasini jijini Dar es salaam Januari 31, 2018. 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt  John Pombe Magufuli  akiiangalia passipoti yake mpya  ya kielektronikia baada ya kuipokea kutoka kwa Waziri wa mambo ya Ndani Dkt. Mwigulu Nchemba makao makuu ya Idara ya Uhamiaji Kurasini jijini Dar es salaam Januari 31, 2018. 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt  John Pombe Magufuli  akipokea passipoti yake mpya  ya kielektronikia  kutoka kwa Waziri wa mambo ya Ndani Dkt. Mwigulu Nchemba makao makuu ya Idara ya Uhamiaji Kurasini jijini Dar es salaam Januari 31, 2018. 

Rais wa Zanzibar Dkt. Ali Mohamed Shein  akipokea pasipoti yake mpya ya kielektronikia kutoka kwa Waziri wa mambo ya Ndani Dkt. Mwigulu Nchemba makao makuu ya Idara ya Uhamiaji Kurasini jijini Dar es salaam Januari 31, 2018.  

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan akionesha kwa furaha passipoti yake mpya  ya kielektronikia baada ya kuipokea kutoka kwa Waziri wa mambo ya Ndani Dkt. Mwigulu Nchemba makao makuu ya Idara ya Uhamiaji Kurasini jijini Dar es salaam Januari 31, 2018. 

 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli  akiweka sahihi kwa ajili ya kujipatia pasipoti yake mpya  makao makuu ya Idara ya Uhamiaji Kurasini jijini Dar es salaam Januari 31, 2018.  

 

 

 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli     akichukuliiwa alama za vidole  kwa ajili ya kujipatia pasipoti yake mpya ya kielektronikia  makao makuu ya Idara ya Uhamiaji Kurasini jijini Dar es salaam Januari 31, 2018.  

 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akiwa na Rais wa Zanzibar Dkt. Ali Mohamed Shein na Waziri wa mambo ya Ndani ya Nchi Dkt Mwigulu Nchemba wakimsikiliza Kamishna Mkuu wa Uhamiaji Dkt. Peter Makakala  akielzea hatua mbalimbali za upatikanaji wa passipoti mpya  ya Tanzania ya  kielektronikia makao makuu ya Idara ya Uhamiaji Kurasini jijini Dar es salaam Januari 31, 2018.

 

 

Mke wa Rais Mama Janeth Magufuli  akichukuliiwa alama za vidole  kwa ajili ya kujipatia pasipoti yake mpya ya kielektronikia  makao makuu ya Idara ya Uhamiaji Kurasini jijini Dar es salaam Januari 31, 2018.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akiangalia namna pasipoti za kielektonikia mara baada ya kuchapwa  alipokuwa akielezewa na Kamishna Mkuu wa Uhamiaji Dkt. Peter Makakala  makao makuu ya Idara ya Uhamiaji Kurasini jijini Dar es salaam Januari 31, 2018.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akisaliamiana na Rais mstaafu wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar Dkt.Aman Abeid Karume katika hafla ya ufunguzi wa pasipoti za kielektonikia makao makuu ya Idara ya Uhamiaji Kurasini jijini Dar es salaam Januari 31, 2018.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akiwa amesimama  na Viongozi wengine wa kitaifa wakati wa kuimba wimbo wa Taifa wakati wa uzinduzi wa pasipoti za kielektonikia   makao makuu ya Idara ya Uhamiaji Kurasini jijini Dar es salaam Januari 31, 2018.

Baadhi ya Maafisa waandamizi wa Uhamiaji wakipiga saluti wakati wa wimbo wa Taifa kwenye sherehe za uzinduzi wa  pasipoti  mpya ya Tanzania  kielektronikia  makao makuu ya Idara ya Uhamiaji Kurasini jijini Dar es salaam Januari 31, 2018.

Balozi wa Irendi nchini Tanzania Balozi Paul Sherlockna akitoa hotuba yake wakati wa uzinduzi wa pasipoti za kielektonikia   makao makuu ya Idara ya Uhamiaji Kurasini jijini Dar es salaam Januari 31, 2018.

 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akimsikiliza Balozi wa Irendi nchini Tanzania Balozi Paul Sherlockna akitoa hotuba yake wakati wa uzinduzi wa pasipoti za kielektonikia   makao makuu ya Idara ya Uhamiaji Kurasini jijini Dar es salaam Januari 31, 2018.

Kamishna Mkuu wa Uhamiaji Dkt. Peter Makakala  akitoa hotuba yake mbele yaRais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli kuhusu passipoti mpya  ya Tanzania ya  kielektronikia makao makuu ya Idara ya Uhamiaji Kurasini jijini Dar es salaam Januari 31, 2018.

Waziri wa mambo ya Ndani ya Nchi Dkt Mwigulu Nchemba akitoa hotuba yake mbele yaRais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli kuhusu passipoti mpya  ya Tanzania ya  kielektronikia makao makuu ya Idara ya Uhamiaji Kurasini jijini Dar es salaam Januari 31, 2018.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akiagana na Viongozi wastaafu wa Idara ya Uhamiaji mara baada ya uzinduzi wa pasipoti za kielektonikia   makao makuu ya Idara ya Uhamiaji Kurasini jijini Dar es salaam Januari 31, 2018.

Mke wa Rais Mama Janeth Magufuli akimjulia hali msanii mkongwe Amri Athumani maarufu kama King Majuto aliyelazwa katika hospitali ya Tumaini jijini Dar es salaam Januari 31, 2018.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli  akimjulia hali msanii mkongwe Amri Athumani maarufu kama  King Majuto aliyelazwa katika hospitali ya Tumaini jijini Dar es salaam Januari 31, 2018

 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli  akiwa na mkewe Mama Janeth Magufuli  wakimjulia hali msanii mkongwe King  Amri Athumani maarufu kama Majuto aliyelazwa katika hospitali ya Tumaini jijini Dar es salaam Januari 31, 2018

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli  akiagana na msanii mkongwe Amri Athumani maarufu kama  King Majuto aliyelazwa katika hospitali ya Tumaini jijini Dar es salaam Januari 31, 2018

RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA MHE. DKT. MAGUFULI AKUTANA NA KUFANYA MAZUNGUMZO NA BALOZI MTEULE DKT. WILBROD SLAA PIA AKUTANA NA MAAFISA WAKUU WA JESHI LA ULINZI LA WANANCHI WANAOTARAJIWA KUSTAAFU,IKULU JIJINI DAR ES SALAAM JANUARI 29,2018.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na Balozi Mteule Dkt. Wilbrod Slaa kabla ya kuanza mazungumzo yao Ikulu jijini Dar es Salaam,Januari 29,2018.

 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika mazungumzo na Balozi Mteule Dkt. Wilbrod Slaa Ikulu jijini Dar es Salaam.Januari 29,2018.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza jambo na mgeni wake Balozi Mteule Dkt. Wilbrod Slaa kabla ya kuzungumza na wanahabaari Ikulu jijini Dar es Salaam.

 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiagana na Balozi Mteule Dkt. Wilbrod Slaa mara baada ya kuzungumza na wanahabari Ikulu jijini Dar es Salaam

 

Balozi Mteule Dkt. Wilbrod Slaa akizungumza na Wanahabari mara baada ya kuzungumza na wanahabari Ikulu jijini Dar es Salaam,Januari 29,2018.

 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na Wanahabari mara baada ya kufanya mazungumzo na Balozi Mteule Dkt. Wilbrod Slaa Ikulu jijini Dar es Salaam.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akifurahi na Balozi Mteule Dkt. Wilbrod Slaa mara baada ya kumaliza mazungumzo Ikulu jijini Dar es Salaam.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akifurahia jambo na Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi nchini (CDF) Jenerali Venance Mabeyo kabla hajaanza kuwatambulisha Maafisa Wakuu wa Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (hawaonekani pichani) ambao wanatarajia kustaafu.Jnauari 29,2018.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na Kanali Peter Samuel Sameji kulia ni Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi nchini (CDF) Jenerali Venance Mabeyo Ikulu Jijini Dar es salaam.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika mazungumzo na Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi nchini (CDF) Jenerali Venance Mabeyo ambaye aliambatana na Maafisa Wakuu (sita) wa Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania ambao wanatarajiwa kustaafu.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika picha na Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi nchini (CDF) Jenerali Venance Mabeyo pamoja na Maafisa Wakuu (sita) wa Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania wanaotarajiwa kustaafu ambao ni Mnadhimu Mkuu wa Jeshi la Ulinzi wa Tanzania Luteni Jenerali James Mwakibolwa wanne kutoka (kulia), Meja Jenerali Michael Isamuhyo watatu kutoka (kulia) Brigedia Jenerali Aron Robert Lukyaa wapili kutoka (kulia), Kanali Peter Samuel Sameji wa kwanza (kulia). Wengine katika picha ni Brigedia Jenerali William Ephraim Kivuyo wapili kutoka kushoto na Brigedia Jenerali Elizaphani Lutende Malembo.