RAIS DKT. JOHN POMBE MAGUFULI AONDOKA NCHINI NA KUWASILI NCHINI AFRIKA KUSINI KWAAJILI YA SHEREHE YA UAPISHO WA RAIS MTEULE WA NCHI HIYO MHE.CYRIL RAMAPHOSA

Rais wa Jamhuri ya Muungano waTanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza jambo na Rais mstaafu wa awamu ya nne Mhe.Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete wakiwa kwenye ndege ya Shirika la ndege la Tanzania (Air Tanzania) wakielekea Nchini Afrika Kusini kwaajili ya Sherehe za Uapisho wa Rais Mteule wa nchi hiyo Mhe.Cyril Ramaphosa ambaye anatarajiwa kuapishwa Mei 25,2019.

Rais wa Jamhuri ya Muungano waTanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwasili katika Uwanja wa ndege wa Kimataifa wa OR Tambo Nchini Afrika Kusini kwaajili ya kuhudhuria Sherehe za Uapisho wa Rais Mteule wa nchi hiyo Mhe.Cyril Ramaphosa ambaye anatarajiwa kuapishwa Mei 25,2019.

Rais wa Jamhuri ya Muungano waTanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na Rais mstaafu wa awamu ya nne Mhe.Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete kabla ya kuingia kwenye ndege ya Shirika la ndege la Tanzania (Air Tanzania) walipokuwa wakielekea Nchini Afrika Kusini kwaajili ya Sherehe za Uapisho wa Rais Mteule wa nchi hiyo Mhe.Cyril Ramaphosa ambaye anatarajiwa kuapishwa Mei 25,2019.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *