RAIS DKT.JAKAYA MRISHO KIKWETE APOKEA RIPOTI YA OPERESHENI TOKOMEZA APRIL 10, 2015

1fbg

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

Mwenyekiti wa Tume ya Uchunguzi kuhusu operesheni tokomeza Jaji (Mstaafu) Balozi Hamisi Amiri  Msumi akimkabithi Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete Ripoti ya Uchunguzi wa Tume hiyo katika hafla fupi iliyofanyika ikulu jijini Dar es Salaam April 10, 2015

3ngg

Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika picha ya pamoja na wajumbe wa Tume ya Uchunguzi wa operesheni Tokomomeza ikulu April 10, 2015.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *