
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akilakiwa na Mkurugenzi Mkuu wa mfuko wa pensheni wa PSPF Bw. Adam Mayingu alipowasili kuzindua majengo pacha ya ghorofa 35 ya PSPF TOWERS mtaa wa Sokoine jijini Dar es salaam leo Septemba 16, 2015

Mrisho Mpoto na Mjomba Band wakitumbuiza kwenye sherehe za majengo pacha ya ghorofa 35 ya PSPF TOWERS mtaa wa Sokoine jijini Dar es salaam leo Septemba 16, 2015

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akilakiwa na Mkurugenzi Mkuu wa PPF Bw. William Erio na Mkurugenzi Mkuu wa NSSF Dr. Ramadhani Dau alipowasili kuzindua majengo pacha ya ghorofa 35 ya PSPF TOWERS mtaa wa Sokoine jijini Dar es salaam leo Septemba 16, 2015

majengo pacha ya ghorofa 35 ya PSPF TOWERS mtaa wa Sokoine jijini Dar es salaam yaliyozindulia leo Septemba 16, 2015

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiongea jambo na Mkurugenzi Mkuu wa mfuko wa pensheni wa PSPF Mkurugenzin Mkuu wa Mfuko wa Pensheni wa PSPF, Adam Mayingu katika sherehe za kuzindua majengo pacha ya ghorofa 35 ya PSPF TOWERS mtaa wa Sokoine jijini Dar es salaam leo Septemba 16, 2015

Rais Jakaya Mrisho Kikwete hutubia kabla ya kuzindua rasmi majengo pacha ya ghorofa 35 ya PSPF TOWERS mtaa wa Sokoine jijini Dar es salaam leo Septemba 16, 2015

Sehemu ya wageni na wafanyakazi wa PSPF kuzindua majengo pacha ya ghorofa 35 ya PSPF TOWERS mtaa wa Sokoine jijini Dar es salaam leo Septemba 16, 2015

Makandarasi waliojenga majengo pacha hayo wakisimama kutambuliwa

Makandarasi waliojenga majengo pacha hayo wakisimama kutambuliwa

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akijaza fomu kujiunga na mfuko wa pensheni wa PSPF kwenye sherehe hizo. Kulia ni Naibu waziri wa Fedha Mhe. Adam Kighoma Malima. Kulia kwa Rais ni Mwenyekiti wa Bodi ya PSPF Mhe. George Yambesi na kushoto ni Mkurugenzi Mkuu wa mfuko wa pensheni wa PSPF Bw. Adam Mayingu

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akipokea mfano wa kadi kwa ajili ya Mama Salma Kikwete ambaye pia amejiunga na mfuko wa pensheni wa PSPF kwenye sherehe hizo. Kulia ni Naibu waziri wa Fedha Mhe. Adam Kighoma Malima. Kulia kwa Rais ni Mwenyekiti wa Bodi ya PSPF Mhe. George Yambesi na kushoto ni Mkurugenzi Mkuu wa mfuko wa pensheni wa PSPF Bw. Adam Mayingu

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akipokea mfano wa kadi yake baada ya kujiunga mfuko wa pensheni wa PSPF kwenye sherehe hizo. Kulia ni Naibu waziri wa Fedha Mhe. Adam Kighoma Malima. Kulia kwa Rais ni Mwenyekiti wa Bodi ya PSPF Mhe. George Yambesi na kushoto ni Mkurugenzi Mkuu wa mfuko wa pensheni wa PSPF Bw. Adam Mayingu

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiweka alama ya dole kwenye fomu yake ya uanmachama baada ya kujiunga mfuko wa pensheni wa PSPF kwenye sherehe hizo. Kulia ni Naibu waziri wa Fedha Mhe. Adam Kighoma Malima. Kulia kwa Rais ni Mwenyekiti wa Bodi ya PSPF Mhe. George Yambesi na kushoto ni Mkurugenzi Mkuu wa mfuko wa pensheni wa PSPF Bw. Adam Mayingu

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akilakiwa na na Mkurugenzi Mkuu wa NSSF Dr. Ramadhani Dau na Mkurugenzi Mkuu wa PPF Bw. William Erio kwenye sherehe zsa kuzindua majengo pacha ya ghorofa 35 ya PSPF TOWERS mtaa wa Sokoine jijini Dar es salaam leo Septemba 16, 2015

Rais Kikwete na msanii Mrisho Mpoto baada ya kuzindua majengo pacha ya PSPF

Rais Kikwete akikagua sehemu ya majengo hayo

Rais Kikwete katika picha ya pamoja na viongozi na wakuu wa mifuko ya pensheni

Rais Kikwete na viongozi wengine wakifurahia sanamu ya ukutani inayopamba eneo la mapokezi

Rais Kikwete akiwa na Bodi ya PSPF

Wakurugenzi wa vitengo mbalimbali vya PSPF

Makandarasi wazalendo waliojenga majengo pacha ya PSPF Towers


Rais Kikwete akifungua mabango kuzindua sanamu kubwa ya PSPF

Rais Kikwete akifunua pazia kuzindua rasmi majengo pacha ya PSPF TOWERS

Rais Kikwete akikata utepe kuzindua rasmi majengo pacha ya PSPF TOWERS

Rais Kikwete akipokea zawadi ya picha ya PSPF Towers na Bw. George Yambesi