Daily Archives: March 29, 2015

RAIS WA ZIMBABWE ROBERT MUGABE AFUNGUA KONGAMANO LA VIJANA AFRICA NA CHINA, RAIS JAKAYA MRISHO KIKWETE ATUNUKU TUNZO YA HESHIMA MACHI 28,2015

8

 

7

 

6

 

5

 

Rais wa Zimbambwe Robert Mugabe akiwasili mapema leo mchana  kwenye uwanja wa ndege wa KIA.Rais Mugabe anatarajiwa kufungua  Kongamano la Viongozi Vijana wa Afrika na China litakaloanza leo mjini Arusha. 

_MG_6224

 

 

_MG_6315

Mgeni rasmi wa kongamano la tatu la viongozi vijana wa Africa na china  Rais wa Zimbambwe Robert Mugabe akihutubia kwenye Kongamano hilo katika moja ya ukumbi wa mikutano katika Hotel ya Ngurdoto mjini Arusha 

3

Rais Jakaya Kikwete akihutubia katika  kongamano la tatu la viongozi vijana wa Africa na china,   kwenye Kongamano hilo katika moja ya ukumbi wa mikutano katika Hotel ya Ngurdoto mjini Arusha 

TUNZO

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akipewa tuzo ya Heshima ya juu ya kuhamasisha amani na utulivu barani Afrka na Rais wa umoja wa Afrika (PAYU) Francine furaha muyumba,Tuzo hiyo hutolewa na Umoja wa Vijana wa Umoja wa Afrika picha kushoto ni mkuu wa wilaya ya mfindi mhe.mboni mbita

2jffvghfgjhv

Rais Jakaya Mrisho Kikwete  akiteta jambo na mgeni wake Rais wa Zimbambwe Robert Mugabe alipofika Arusha Machi 28, 2015 kwa ajili ya  kufungua Kongamano la Viongozi Vijana wa Afrika na China.