Monthly Archives: March 2016

RAIS DKT. JOHN POMBE MAGUFULI AWASILI CHATO MKOANI GEITA KWA MARA YA KWANZA TANGU ACHAGULIWE KUWA RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA MARCH 29,2016

1 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na Mkuu wa Mkoa wa Geita Meja Jenerali Ezikiel Elias Kyunga mara baada ya kuwasili katika viwanja wa Chato Mkoani Geita. Rais aliwasili Wilayani Chato kwa mara ya kwanza tangu achaguliwe kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

2Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na Mkuu wa Mkoa wa Geita Meja Jenerali Mstaafu Ezikiel Elias Kyunga kulia ,Mbunge wa Geita Vijijini Joseph Kasheku Msukuma kushoto na Naibu waziri wa Nishati na Madini ambaye pia ni mbunge wa Chato Dkt. Medard Kalemani watatu kutoka kulia wakielekea kwenye uwanja wa Mkutano wa mazaina kwa ajili ya kuwasalimia mamia ya wakazi wa Chato Mkoani Geita.March 29,2016

3 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akipiga ngoma na kikundi cha ngoma za asili cha Chato mara baada ya kuwasili kwenye uwanja wa Mkutano Chato Mkoani Geita.

4Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwasalimia wakazi wa Chato mara baada ya kuwasili kwenye uwanja wa Mazaina Chato mkoani Geita

5 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwashukuru wakazi wa Chato waliofika kumpokea kwenye Uwanja wa Michezo wa Mazaina Wilayani Chato.

6Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisaini kitabu wa wageni mara baada ya kuwasili Wilayani Chato.

7 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akihutubia mamia ya wakazi wa Chato mara baada ya kuwasili.

8 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisisitiza jambo katika hotuba yake.

9

 

10Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisisitiza jambo katika hotuba yake.

11 Mke wa Rais Mama Janeth Magufuli akiwasalimia wananchi wa Chato mara baada ya kuwasili uwanjani hapo.

12Wakazi wa Chato wakifurahia Hotuba iliyokuwa ikitolewa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli katika uwanja wa Michezo wa Mazaina Wilayani Chato

RAIS DKT.JOHN POMBE MAGUFULI APOKELEWA KWA SHANGWE ALIPOTUA UWANJA WA NDEGE MWANZA KWA MUDA AKIELEKEA CHATO MKOANI GEITA MARCH.29,2016

0bd9c8ae-3aed-4323-8849-a4b90d534dc7

 

 

dd5e1b86-fec0-4f9d-8be3-5c6604181ce3Viongozi wa dini wakimuombea  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Joseph Magufuli baada ya kutua kwa muda uwanja wa ndege wa Mwanza akiwa anaelekea nyumbani kwake Chato mkoani Geita leo Machi 29, 2016

 13eb33be-cbce-4af5-9fdc-bfb1838dd86a

 

619fcb5e-659d-46db-af36-9a62ecf796a3

 

 de92284a-9640-4ad6-a4cd-c679d3749b77 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Joseph Magufuli akiburudishwa na ngoma za Utamaduni baada ya kutua kwa muda uwanja wa ndege wa Mwanza akiwa anaelekea nyumbani kwake Chato mkoani Geita leo Machi 29, 2016

 

eebfa9c0-6215-4560-8281-5074e25d6ef6

 

0e102698-16f8-4a12-9365-90891a48fb7aRais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Joseph Magufuli akisalimiana na umati wa watu uliojitokeza kumlaki baada ya kutua kwa muda uwanja wa ndege wa Mwanza akiwa anaelekea nyumbani kwake Chato mkoani Geita leo Machi 29, 2016