RAIS DKT. JOHN MAGUFULI AHUDHURIA MAZISHI YA MZEE SELEMANI MRISHO KIKWETE KAKA WA RAIS MSTAAFU WA AWAMU YA NNE MHE. JAKAYA MRISHO KIKWETE MSOGA MKOANI PWANI MARCHI 5, 2016

edc33aa7-bbc9-4311-9c5f-5a8c9588fb16 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiteta jambo na Rais wa serikali ya mapinduzi ya Zanzibara Dkt. Mohhamed Shein kabla ya mazishi ya Marehemu Mzee Selemani Mrisho Kikwete huko Msoga mkoani Pwani.

66f7a4b1-267e-4153-a28d-68457aab5f1fRais Mstaafu wa awamu ya nne Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akimfafanulia jambo Rais wa Jamhuri ya Muungano Dkt. John Pombe Magufuli kabla ya mazishi ya Kaka yake Marehemu Mzee Selemani Mrisho Kikwete huko Msoga mkoani Pwani.

db68ec4a-2a12-4965-b500-a0e0dec7fd2aRais wa Jamhuri ya Muungano Dkt. John Pombe Magufuli akiwa pamoja na Rais wa awamu ya Pili Mzee Ali Hassan Mwinyi wakimsikiliza kwa Makini Rais Mstaafu wa awamu ya nne Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete wakati akifafanua jambo.

1111gdvdgdghdRais wa Jamhuri ya Muungano Dkt. John Pombe Magufuli akiweka mchanga kwenye kaburi la Mzee Selemani Mrisho Kikwete huko Msoga Mkoani Pwani. Mzee Selemani Kikwete alikuwa kaka mkubwa wa Rais Mstaafu wa awamu ya nne Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete,Marchi 5,2016

2df88841-4fa9-4aca-ada2-4116e3ec5116Rais Mstaafu wa awamu ya nne  Dkt Jakaya Mrisho Kikwete akitoa neno la shukrani kwa niaba ya familia baada ya mazishi ya kaka yake, Mzee Selemani Mrisho Kikwete, aliyezikwa kijijini kwao Msoga, Chalinze, wilayani Bagamoyo Mkoa wa Pwani  Machi 5, 2016

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *