Rais Jakaya Mrisho Kikwete akilakiwa kwa furaha alipowasili uwanja wa Jamhuri mjini Morogoro Jumapili Machi 8, 2015 kuongoza kilele cha sherehe za Siku ya Wanawake Duniani iliyoadhimishwa kitaifa mjini humo
Rais Kikwete akisalimiana na Mratibu Mkazi wa Umoja wa Mataifa nchini Bw. Alvaro Rodriguez uwanja wa Jamhuri mjini Morogoro Jumapili Machi 8, 2015 katika kilele cha sherehe za Siku ya Wanawake Duniani iliyoadhimishwa kitaifa mjini humo
maandamano ya kinamama katika uwanja wa Jamhuri mjini Morogoro Machi 8, 2015 katika kilele cha sherehe za Siku ya Wanawake Duniani iliyoadhimishwa kitaifa mjini humo

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akikagua mabanda ya maonesho uwanja wa Jamhuri mjini Morogoro Jumapili Machi 8, 2015 katika kilele cha sherehe za Siku ya Wanawake Duniani iliyoadhimishwa kitaifa mjini humo
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiongea na mtoto wakati akikagua mabanda ya maonesho uwanja wa Jamhuri mjini Morogoro Jumapili Machi 8, 2015 katika kilele cha sherehe za Siku ya Wanawake Duniani iliyoadhimishwa kitaifa mjini humo